We cheka tu!
aya rafiki na mm nipo nipoAlhamdullilah, ni salama kabisa beste...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah m nimekariri Avatar yako ile iliyopita. Naassume ndo wewe yule.Unamaanisha mimi? Alikuambia nani mimi shombeshombe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana aisee umekosea sanaAh m nimekariri Avatar yako ile iliyopita. Naassume ndo wewe yule.
Nikiweka sifa zako wataniibia bureeeeSi unaona mimi nimekosa wa kunisifia? Hata wewe?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka basi hata za uongo ili wasikuibie.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Nikiweka sifa zako wataniibia bureeee
Ngoja niandae pamphlet[emoji23]Weka basi hata za uongo ili wasikuibie.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Blaki Womani the finnest woman i ever know, Her kindness,Beautifu, coolest woman i ever know, tremendous admirable..Blaki womani
Weka basi hata za uongo ili wasikuibie.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kila mbuyu na shetani wake mimi list kama hii ukimkosa Heaven Sent naona kabisa umeamua kuwa Jecha
Ningekuwa sijaoa ningeshaenda unyakyusani siku mingi nikampe huyu mtoto jina langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Brod darling, uhenga huu nao wakati mwingine majukumu yanabana. Ila nipo sana, mimi mwenyewe namiss kweli kuandika magazeti lol. UmemissikaMy sis darling huyu Heaven Sent siku hizi kwa nadra sana, hadi na-miss inputs zake, very smart!!
Heaven Sent na Sky Eclat sijawaona. Sijakuelewa hapo
Haha hata ningekuwa naruhusiwa kuoa mke wa pili bado ningebaki na mmoja tu ananitosha na nakidhi mahitaji yake naye vivyo hivyoKwani huruhusiwi kuoa mke wa pili unichukuepo tu na mimi jamani? lol
Ahsante sana kwa hadhi unayonipa siku zote. Kwangu ni kitu kikubwa sana.......
Huyo aliyekuficha dah! Majukumu ya malezi sio sis [emoji39][emoji125][emoji125]Brod darling, uhenga huu nao wakati mwingine majukumu yanabana. Ila nipo sana, mimi mwenyewe namiss kweli kuandika magazeti lol. Umemissika
Haha hata ningekuwa naruhusiwa kuoa mke wa pili bado ningebaki na mmoja tu ananitosha na nakidhi mahitaji yake naye vivyo hivyo
Besides hupaswi kuwa mchepuko wa yeyote yule someday utaungana na mumeo nanyi mtakuwa mwili mmoja
Nakuombea sana upate mume wa kuendana naye naiona kabisa familia yenu ikiwa moja ya familia ambayo wengi wetu tungetamani tuwe kama nyie.
Busara yako ikutangulie popote na ule ubabe ubabe wenu wa Kinyaki uonyeshe japo kwa busara ...badala ya kumtia makonde jamaa hadharani basi kampigie chumbani
Mimi ni hayo tu .
Sent using Jamii Forums mobile app