Haha hata ningekuwa naruhusiwa kuoa mke wa pili bado ningebaki na mmoja tu ananitosha na nakidhi mahitaji yake naye vivyo hivyo
Besides hupaswi kuwa mchepuko wa yeyote yule someday utaungana na mumeo nanyi mtakuwa mwili mmoja
Nakuombea sana upate mume wa kuendana naye naiona kabisa familia yenu ikiwa moja ya familia ambayo wengi wetu tungetamani tuwe kama nyie.
Busara yako ikutangulie popote na ule ubabe ubabe wenu wa Kinyaki uonyeshe japo kwa busara ...badala ya kumtia makonde jamaa hadharani basi kampigie chumbani
Mimi ni hayo tu .
Sent using
Jamii Forums mobile app