longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
Hakuna demu aliyeko peace kama huyu dada Mzigua90 narudia tena hakunaa hapa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Demiss kuna mda huwa anapanick lakini mzigua ni ngumu mnoo..Dah, mie naona hamfikii Demiss
Hapa ndio uliniita mpenzi??Hakuna demu aliyeko peace kama huyu dada Mzigua90 narudia tena hakunaa hapa jf
Sent using Jamii Forums mobile app
My sis darling huyu Heaven Sent siku hizi kwa nadra sana, hadi na-miss inputs zake, very smart!!Kweli kila mbuyu na shetani wake mimi list kama hii ukimkosa Heaven Sent naona kabisa umeamua kuwa Jecha
Ningekuwa sijaoa ningeshaenda unyakyusani siku mingi nikampe huyu mtoto jina langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda katajwa kwa identification nyingine..!!
Ina maana usmart wangu huuoni au unajidai tu hapaHuenda katajwa kwa identification nyingine..!!
Lazima umeelewa, kule unapajua.. haha!!He he heee kule wapi?
Muone[emoji3]Lazima umeelewa, kule unapajua.. haha!!
Sasa kama hutaki roho yangu itaumia!![emoji39]Muone[emoji3]