Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ooh ahsante kwa shule babe, naamini nitaendelea kujifunza mengi kutoka kwakoHio inatumika sana mbona, utaskia mtu anasema unajishushia P! Thats personality
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh ahsante kwa shule babe, naamini nitaendelea kujifunza mengi kutoka kwakoHio inatumika sana mbona, utaskia mtu anasema unajishushia P! Thats personality
UsijaliOoh ahsante kwa shule babe, naamini nitaendelea kujifunza mengi kutoka kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
UsijaliOoh ahsante kwa shule babe, naamini nitaendelea kujifunza mengi kutoka kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu labda next time tutakuepo kwenye list[emoji3][emoji3][emoji3]Baada ya list ya kwanza ku base upande wa wanaume. Japo kulikuwa kuna wanawake wachache..
Sasa baada ya kuwasoma kwa muda mrefu nawamwaga hapa..
Wale wenye nyodo nafasi zao hazipo..
Shadeeya -
Blaki womani-
Shunie -
Aggyjay -
Ledada -japo ana mikogo sio
Hawachi -
Khantwe -japo anapenda sana kuita watu wenzie watoto. [emoji23]
Victoire -shabiki wa Man u.
Joanah -japo hapendagi masikhara.
Ihela -huyu katulia sana atakuwa kaolewa.
Warumi -huyu mmbea, ila yeye anaongea na kila mtu, japo jinsia yake inatatiza [emoji23]
Mother confeser -huyu mtu yeye hanaga hiyana ku chit chat na watu, sijawahi kumuona anatukana. (naskia ana mgahawa [emoji23]
Numbisa -kwenye ule uzi wetu pendwa wa isidingo yeye Mwenyekiti pale, pia anapenda kufurahi na watu..
Rebecca89-nahisi nimekosea jina ila huyu huwa ana quote kwa yeyote anayeona yuko sawa. Hana shida..
madam B - huyu kwa kujichanganya na watu ndo anapenda. (japo sijamuona kitambo), anapenda kuchangamsha genge hasa lile la chini kabisaaa....
Madam S-huyu ni mtu mmoja mpole sana japo huwa habagui comment..
demiss -huyu mtaalamu wa hapa dom kwetu yeye yuko fresh ila anapenda masikhara na kuchangamsha genge,
Hivyo naye anaingia kwenye list!..
Witnessj- huyu ni nyongeza hapa sababu anapenda utani
Amu -huyu saivi simuoni ila yuko powa sanaa. ushahidi?? Alini follow so anafaa kukaa kwenye list..
Aghata -huyu anaonekana ni mtu mzima ila haimzuii kujichanganya na watu hapendi mzaha..
Wengine mtanisamehe hampo kwa hii list kutokana na vigezo..
Warmly welcomeOoh ahsante kwa shule babe, naamini nitaendelea kujifunza mengi kutoka kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukija mvua itanyesha huku shambaTeh, nakuja kukusabahi...!
bahati iliyoje njoo tuyajengeMimi tu ndio niko singo hao wengine wote wameolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
..shamba ya hapo town sio!!Siku ukija mvua itanyesha huku shamba
Kuna bustani ya mchicha..shamba ya hapo town sio!!
Hahaha!Kuna bustani ya mchicha
Ahsante!Bhasi mm mama ako mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaBaada ya list ya kwanza ku base upande wa wanaume. Japo kulikuwa kuna wanawake wachache..