Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
- #81
Lazima nisahau mkuu ntawataja wote??Ihera?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima nisahau mkuu ntawataja wote??Ihera?
Yule miyeyusho mzeeMiss natafuta miyeyusho au?mbona kwenye list hayupo
Pamoja mkuu ila watu wamenimaindi vibaya mno.
utazipata mkuuMimi naomba unimwagie sifa zangu hapo 😊
Bila Shaka mkuu ile ile list ndefuu inayokujaSawa mkuu labda next time tutakuepo kwenye list[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha peace huyu ni simba mwenda pole utaliwa shauri yako..Kweli kila mbuyu na shetani wake mimi list kama hii ukimkosa Heaven Sent naona kabisa umeamua kuwa Jecha
Ningekuwa sijaoa ningeshaenda unyakyusani siku mingi nikampe huyu mtoto jina langu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu?? 😂😂Bora..... ndio nawajua wanawake wa humu maana majina na comment huwa nashindwa kujua whose who
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hapana mkuu utakuwepo kwa list inayokuja ila tuu ipo kwenye uchunguzi 😂😂[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] wenye nyodo hatumo .......haina shida mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani na haka kauzi umekaona?, njoo utoe utetezi wako!!! ShadeeyaBaada ya list ya kwanza ku base upande wa wanaume. Japo kulikuwa kuna wanawake wachache..
Sasa baada ya kuwasoma kwa muda mrefu nawamwaga hapa..
Wale wenye nyodo nafasi zao hazipo..
Shadeeya -
Blaki womani-
Shunie -
Aggyjay -
Ledada -japo ana mikogo sio
Hawachi -
Khantwe -japo anapenda sana kuita watu wenzie watoto. [emoji23]
Victoire -shabiki wa Man u.
Joanah -japo hapendagi masikhara.
Ihela -huyu katulia sana atakuwa kaolewa.
Warumi -huyu mmbea, ila yeye anaongea na kila mtu, japo jinsia yake inatatiza [emoji23]
Mother confeser -huyu mtu yeye hanaga hiyana ku chit chat na watu, sijawahi kumuona anatukana. (naskia ana mgahawa [emoji23]
Numbisa -kwenye ule uzi wetu pendwa wa isidingo yeye Mwenyekiti pale, pia anapenda kufurahi na watu..
Rebecca89-nahisi nimekosea jina ila huyu huwa ana quote kwa yeyote anayeona yuko sawa. Hana shida..
madam B - huyu kwa kujichanganya na watu ndo anapenda. (japo sijamuona kitambo), anapenda kuchangamsha genge hasa lile la chini kabisaaa....
Madam S-huyu ni mtu mmoja mpole sana japo huwa habagui comment..
demiss -huyu mtaalamu wa hapa dom kwetu yeye yuko fresh ila anapenda masikhara na kuchangamsha genge,
Hivyo naye anaingia kwenye list!..
Amu -huyu saivi simuoni ila yuko powa sanaa. ushahidi?? Alini follow so anafaa kukaa kwenye list..
Aghata -huyu anaonekana ni mtu mzima ila haimzuii kujichanganya na watu hapendi mzaha..
Wengine mtanisamehe hampo kwa hii list kutokana na vigezo..
agata edward
Mtu Mzima [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]