List ya wanawake kumi ambao lazima nioe mmoja wao

Kwani anao?

Rahisi kujua kama anao au laa! Fanyanae yale mambo yetu yale, kavu kavu afu baada ya miezi 3 kacheki ngoma satatus yako, then njoo hapa utu update.
 
sawa nitafanya utafiti
 
namba 5, 8 na 9 wameolewa sasa unataka kua mume wa pili? hao wengine sifahamu. Nakushauri umchukue Wema ukamtulize.
 
Namba 4 also taken, namba 5 nasikia mzungu kamtema.
 
1. Wema sepetu
2. Linah
3. Dj fetty
4. Kiki
5.mwamvita makamba
6. Salama jabir
7.dina marios
8.c.e.o wa 8020 blog
9 c.e.o wa bang magazine
10.mboni masimba
..ndg. hao watu uliopanga majina yao kwa namba(1-10)ni akina nani hao?mimi siwafaham nifahamishe vizuri.:redface:
 
namba 5, 8 na 9 wameolewa sasa unataka kua mume wa pili? hao wengine sifahamu. Nakushauri umchukue Wema ukamtulize.
Kama vipi nakuwa nyumba ndogo fresh tu
 
namba 5, 8 na 9 wameolewa sasa unataka kua mume wa pili? hao wengine sifahamu. Nakushauri umchukue Wema ukamtulize.
Wema watu wengi wananiambia nimchukue
 
Back
Top Bottom