Mkuu, nimemjumuisha Joyce Kiria kwa sababu ukiangalia kiwango chake cha elimu, huko alikotoka, ukatazama na mambo anayofanya hivi sasa, inaonesha ametumia jitihada kubwa sana kufikia hapo alipo. granted, huwezi kumlinganisha moja kwa moja na hao wenzake wawili, wako viwango tofauti, lakini jitihada yake ni kubwa sana na hana woga! imagine angepata elimu kubwa tangu mwanzo angekuwa wapi hivi sasa?
Mimi nadhani Joyce Kiria ni zaidi ya hhao wote ni mwana dada aliye amua kupigania haki za wengi pamoja na kuwa elimu yake ni mashaka na kizuri zaidi yeye mwenyewe anaongea ukweli juu ya maisha yake yote.
Hujamwelewa! Anamaanisha kwamba baadhi ya hao wamama wame-sacrifice familia zao kufika hapo, eg baadhi wamefika hapo kwa sababu za chupi, therefore hawastahili hiyo recognition.
Mh.anna makinda amekuwa mbunge wa njombe kusini kuanzia mwaka 1995 na siyo mwaka 1975 kama ulivyoeleza.hayati makwetta ndiye aliyekuwa mbunge mwaka 1975.
Acha ushamba wewe!MBONA KUNA WANAWAKE WENYE VYEO VYA " DEPUTY COMMISSIONER OF PRISONS - DCP" HAPA NCHINI NA HUJAWAWEKA? AU HUJUI UKUBWA WA VYEO HIVYO? UNAMWEKA MHAVILE MSHAMBA NINI WEWE" HUO NI MFANO TU WAPO WENGI KATIKA NYANJA ZA KIJESHI KAMA VILE MAJOR (RTD) MADAWILI WA JESHI LA WANANCHI?
ACHA USHAMBA NA THREAD ZAKO!:embarrassed1:
Mimi nadhani Joyce Kiria ni zaidi ya hhao wote ni mwana dada aliye amua kupigania haki za wengi pamoja na kuwa elimu yake ni mashaka na kizuri zaidi yeye mwenyewe anaongea ukweli juu ya maisha yake yote.
Wako wengi sana umewasahau
Josephine Mushumbusi
mawazo ya kibavicha hayo. afadhali ungewataja akina ananilea nkya, mama bisimba........
slufay umeniboa...unadhan mguu pande ni rahisi kiivo? Kwanza ushakosea..huwa hakuna "mguu sawa" now if you think ni rahisi jiulize wangapi walikimbia jeshi...jiulize kwann nyambari nyangwine alikimbia kozi ya wiki tatu tu jkt ruvu.Cheo cha jeshi haina maana yoyote si ya kisomi! ! Mguu pande mguu sawa nani anashindwa! Hata mama ntilie anaweza .
Jina lako unaitwa scramble ndiomaana unajibu kinamna hiyo kwani sio akili yako inakwambia bali ni mkakati maalumu wa scrambling for buku 7 pole ndugu.