List ya wanawake warembo JF

Aha kumbe huu uzi ndio umefanya utajwe kule kwamba unatengeneza Matabaka JF. Pia
Uje na list ya watu 10 wajinga JF naomba nisikosekane kwenye hiyo top ten
 
Miss Natafuta yuko wapi kwenye list yako? Ni mrembo sana, bonge la jimama na mtaalamu wa kujenga na kupangua hoja za kila 'dizaini'.
Huweka picha zake halisi kwenye avatar yake.
Kama sivyo, basi atakuwa ni mwanamke mjanjanja mjanja, kuweza ku 'select' mapicha yanayoendana na haiba yake.
Muorodheshe kwenye list yako, ana sifa stahiki za kuwa mrembo 'wahedi' wa jf.
 
kwa mimi niliyewahi kuwaona mabinti wa humu bado hapo kuna uliowaaacha
 
Ngoja nimuite shost yangu Miss Natafuta aje asome hii comment
 
Ikija list ya top 5 "Manguli wabobezi wa kupiga Punyeto nisikosekane no. 1, na ushahidi ninao.... nikikosekana nampeleka mtu mahakamani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…