Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Haha haya ahsante shemejiBasi sisi tupo salama.
Aisee hongera kwa kuwa kwenye List ya Warembo wa JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha haya ahsante shemejiBasi sisi tupo salama.
Aisee hongera kwa kuwa kwenye List ya Warembo wa JF.
eheheee shosti nimekumissije?Ngoja nimuite shost yangu Miss Natafuta aje asome hii comment
Napambana na hali yangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jiajiri mapema ili nisiendelee kukununia.
Hahahaaaaa!!!Napambana na hali yangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unacheka nini sasa?Hahahaaaaa!!!
you are bond by your words.List imejaa matinginya [emoji23][emoji23]
hahahahahahha jmn JF kiboko yaoFaiza kichwani yupo smart?????
Ama kweli kila kilazaaa ana kilaza wake.
Nani kasema nimbadili jinsia?eti na wewe uko kwenye list ya warembo
teh teh
aliyekuita au amekuitia nini nitonyeNani kasema nimbadili jinsia?
Natamani nikuelewe ujue...aliyekuita au amekuitia nini nitonye
nini hujaelewa lakin my loveNatamani nikuelewe ujue...
Sijaelewa ni nani huyo ananiita mrembo?nini hujaelewa lakin my love
ngoja nikutagSijaelewa ni nani huyo ananiita mrembo?