List ya wanawake warembo JF

Mkuu umeingia juzi umeshajua wanawake warembo au mambo ya multiple id ila me unitoemo hapo sina urembo wowote jaman
Nimeoteshwa na pastor yule wa kuamusha Dude
 
Kwa faiza fox sidhani

mwanza kwetu
 
Hiyo list yako naona imeandaliwa na Jaji Jecha
...Mrembo namba 1 hapa JF asiye na makuu ni kipnz changu @rubiii


Chief Economist
 
Nitaamin Vipi? Weka Picha Banaaa...Kuandika Tuu...Aitoshiii!!![emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…