List ya wanawake warembo JF

List ya wanawake warembo JF

Mkuu umeingia juzi umeshajua wanawake warembo au mambo ya multiple id ila me unitoemo hapo sina urembo wowote jaman
Nimeoteshwa na pastor yule wa kuamusha Dude
 
Kwa faiza fox sidhani

mwanza kwetu
 
Hiyo list yako naona imeandaliwa na Jaji Jecha
...Mrembo namba 1 hapa JF asiye na makuu ni kipnz changu @rubiii


Chief Economist
 
Baada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani
Ambao kila mwanaume anatamani kuwa nao hawa wafuatao ni warembo haswa hii ni kutona na research niliyoifanya na pia wanashobokewa sana.

1.Girl next-door .ila ni jasusi
2.Shunie.
3.Dark angel.
4.Misstrace . kiportaple
5.Numbisa. Ila ni mchekeshaji kma ebitoke
6.Curious gal. No comment
7.Demi. Shape like vera sidika
8.Maserati..
9.Sky Eclat. Tatzo ni wauswazi
10.Faiza Fox. huyu ni mama yetu lakn ni mrembo

Hawa ndyo wenye mvuto na wanaopendwa zaidi humu
Nitaamin Vipi? Weka Picha Banaaa...Kuandika Tuu...Aitoshiii!!![emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom