Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwann alikataa? Mm sjawahi kuingia kwny hilo jukwaa. Lakini alikataa km yt ni daktari. Sky Eclat sorry sikuwa na nia mbaya kukuulza hvyo. Ila niliomba samahani nilipomuulza.Huyo lazima atakuwa ni daktari tu,vitu anavyoviandika kule kwenye jukwaa la JF doctors vinadhihirisha hilo.
Humu JF hakuna anayetaka ajulikane yeye ni nani ,ndio maana tunatumia fake Id's.Sasa kwann alikataa? Mm sjawahi kuingia kwny hilo jukwaa. Lakini alikataa km yt ni daktari. Sky Eclat sorry sikuwa na nia mbaya kukuulza hvyo. Ila niliomba samahani nilipomuulza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ni mtumishi wa Mungu. Yuko vzuri sana kwa ushauri na mambo ya kiroho. Mfuatilie utamuelewa tu.Simfahamu
Mwandiko unaonyesha unampendaSasa kwann alikataa? Mm sjawahi kuingia kwny hilo jukwaa. Lakini alikataa km yt ni daktari. Sky Eclat sorry sikuwa na nia mbaya kukuulza hvyo. Ila niliomba samahani nilipomuulza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakn kusema ww ni daktari hata kwa fake id haiwezi kukufichua.Humu JF hakuna anayetaka ajulikane yeye ni nani ,ndio maana tunatumia fake Id's.
Amushauri kiranga kwanzaNahisi ni mtumishi wa Mungu. Yuko vzuri sana kwa ushauri na mambo ya kiroho. Mfuatilie utamuelewa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwanzo wa kujulikana huo.
Hapana sikuwa na lengo hilo. Namkubali sana ndo maana nilimuulza.Ni mwanzo wa kujulikana huo.
Kwa sababu itafika pahala mpaka hospitali anayofanyia kazi utataka kuijua.
He he he he he heUpo mungu amekuona
Umemsahau Witnessj, huyu yuko vizuri sana. Pia Nifah ni moto sana tena hawajivuni pm wanaresond kistaarabu sanaBaada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani
Ambao kila mwanaume anatamani kuwa nao hawa wafuatao ni warembo haswa hii ni kutona na research niliyoifanya na pia wanashobokewa sana.
1.Girl next-door .ila ni jasusi
2.Shunie.
3.Dark angel.
4.Misstrace . kiportaple
5.Numbisa. Ila ni mchekeshaji kma ebitoke
6.Curious gal. No comment
7.Demi. Shape like vera sidika
8.Maserati..
9.Sky Eclat. Tatzo ni wauswazi
10.Faiza Fox. huyu ni mama yetu lakn ni mrembo
Hawa ndyo wenye mvuto na wanaopendwa zaidi humu
Nifah ameolewaUmemsahau Witnessj, huyu yuko vizuri sana. Pia Nifah ni moto sana tena hawajivuni pm wanaresond kistaarabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hao sura mbovu hawana vyuraYani hyo list ni zero kama hawa watu hawapo
[HASHTAG]#lala1[/HASHTAG] , [HASHTAG]#mahondaw[/HASHTAG] , [HASHTAG]#Divine[/HASHTAG], [HASHTAG]#Heaven[/HASHTAG] sent, [HASHTAG]#Christine[/HASHTAG] Ibrahim, [HASHTAG]#evelyn salt[/HASHTAG] ,[HASHTAG]#miss chagga[/HASHTAG] ,na wengine kibao
[HASHTAG]#Teamlegends[/HASHTAG] wa jf