huyu kazamia UK
Andy Cole - Andendekisye Mwakikole
LIST ya wanyakyusa waliozamia USA.
1.Rick ross( eric mwaryosi)
2. Kanye west( kanyetile mwalwesetile )
3. Lady gaga (lidia mwaigagala)
4. Chriss brown( christopher blauntonye
mwakikonyola) 5. Tupac shakur (Tupakisye shukuru andembwisye)
Kama unawajua Wengine Warushe hapa
ha ha ha!
Kuna Mkinga m1 kazamia ufaransa anachezea Arsenal!
Bakary Sagna= Bakari Sanga