Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni[emoji3][emoji3].
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk
Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
Mbinguni ni mahali patakatifu akaapo Mungu mwenye-enzi. Anayewaalika watu huko mbinguni ni Mungu mwenyewe, embu tuache kumpangia nania miongoni mwetu ataenda ama la. Hiyo ni kazi yake na ni kwa mapenzi yake.
Sitaki kwenda maana kuna tetesi kwamba kule watu wanavaa magauni na kuimba na kusifu mchana na usiku every dayJiseme kwanini huwezi kwenda mbinguni
Hadi mitaro? Basi kuna uwezekano nikaendaMbona wanasema duniani hakuna kipya..inamaana kule juu kuna kila kitu kinachopatikana duniani
Kiranga anapenda jahanamu...😀Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni😀😀.
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk
Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni😀😀.