List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
3,334
Reaction score
7,651
Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni😀😀.
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk

Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
 
1.Mzee Baba
Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni[emoji3][emoji3].
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk

Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
 
Mbinguni ni mahali patakatifu akaapo Mungu mwenye-enzi. Anayewaalika watu huko mbinguni ni Mungu mwenyewe, embu tuache kumpangia nania miongoni mwetu ataenda ama la. Hiyo ni kazi yake na ni kwa mapenzi yake.

Nawewe huwezi kwenda mbinguni maana unampangia Mungu kwamba kule ni makazi yake peke yake..
 
Sitaki kwenda maana kuna tetesi kwamba kule watu wanavaa magauni na kuimba na kusifu mchana na usiku every day

Mbona wanasema duniani hakuna kipya..inamaana kule juu kuna kila kitu kinachopatikana duniani
 
Tusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni😀😀.
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk

Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
Kiranga anapenda jahanamu...😀
 
Mathayo 7:1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

Luka 6:37 Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa; msilaumu, nanyi hamtalaumiwa; achilieni, nanyi mtaachiliwa.

Yohana 7:24 Basi msihukumu hukumu ya macho tu, bali ifanyeni hukumu iliyo ya haki.

1 Wakorintho 4:5 Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.
Barikiwa. sana sana wasaidie wafike mbinguni kwa kuwaombea.
 
ewaaa...! mimi mbinguni siendi ila peponi nitakwenda.....nasema tena nitakwendaaa.....!
 
Back
Top Bottom