Uwendi mbinguniTusaidiane kuwataja watu ambao hawawezi kwenda mbinguni na sababu kwanini hawataenda mbinguni[emoji3][emoji3].
Mtaje hata kama huyo mtu yupo mtaani kwenu,kazini,kiongozi wako..nk
Mimi naanza na
1-uncle mshana jr...huyu hawezi kwenda mbinguni kwasababu ni mshirikina sana
2-kiranga... Huyu pia hawezi kuingia mbinguni hata akipewa offer ya kuingia mbinguni na akikuta mlango upo wazi,atamuuliza Mungu ninauhakika gani kama hapa ndio mbinguni atapigwa kwenzi moja atakufa tena..
Mathayo 7:1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
Luka 6:37 Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa; msilaumu, nanyi hamtalaumiwa; achilieni, nanyi mtaachiliwa.
Yohana 7:24 Basi msihukumu hukumu ya macho tu, bali ifanyeni hukumu iliyo ya haki.
1 Wakorintho 4:5 Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.
Barikiwa. sana sana wasaidie wafike mbinguni kwa kuwaombea.
Hukohuko rohoni mbinguni huemdi walahi
Nyote hamuendi full stop walahi
Kwa kuwa nyinyi ni wabishi sana na hamna clue what life is walahi
So get lost people walahi
Nyote hamuendi full stop walahi
Kwa kuwa nyinyi ni wabishi sana na hamna clue what life is walahi
So get lost people walahi
Wooooote tunaenda isipokuwa jiwe na Bashite!Nyote hamuendi full stop walahi
Kwa kuwa nyinyi ni wabishi sana na hamna clue what life is walahi
So get lost people walahi
Tena wewe ndio kabisa mzee mcharuko huendi kokote walahiWooooote tunaenda isipokuwa jiwe na Bashite!
Mbinguni ni mahali patakatifu akaapo Mungu mwenye-enzi. Anayewaalika watu huko mbinguni ni Mungu mwenyewe, embu tuache kumpangia nani miongoni mwetu ataenda ama la. Hiyo ni kazi yake na ni kwa mapenzi yake.
Kwanini Mkuu?Huendi mbinguni.