List ya watu ambao hawaendi mbinguni..

Unaweza kuthibitisha mbinguni kupo?

Unaweza kuthibitisha mbinguni kutakuwepo?

Unaweza kuthibitisha kuna watu watakwenda huko mbinguni?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Unaweza kuthibitisha mbinguni kupo?

Unaweza kuthibitisha mbinguni kutakuwepo?

Unaweza kuthibitisha kuna watu watakwenda huko mbinguni?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Angalia juu kwenye mawingu kule ndio mbinguni mkuu😀😀😀...lakini wewe huwezi kwenda nakwambia..
Brother mbinguni huendi walahi
 
Unaelewa kwamba juu kwako ni chini kwa wenzako walio upande wa pili wa dunia?

Hao walio upande wapili wa dunia ndio wapo mbinguni...ambako wewe huwezi kwenda
 
Dunia itabaki kuwa paradiso milele yote.mbinguni watakwenda watu 144000 kutawala ufalme wa MUNGU pamoja Na MUNGU.KWA MUJIBU WA BIBLIA..UAMUZI UPO KWA WALIO HAI PEKEE
 
Dunia itabaki kuwa paradiso milele yote.mbinguni watakwenda watu 144000 kutawala ufalme wa MUNGU pamoja Na MUNGU.KWA MUJIBU WA BIBLIA..UAMUZI UPO KWA WALIO HAI PEKEE

Hiyo idadi ya hao watu tutakao kwenda mbinguni imeandikwa sehemu gani kwenye biblia
 
Mkuu 90% ya JF Expert Members hawataenda sababu wanazijua wenyewe.... Server haitatosha nikiziorodhesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…