Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
9-12 sizani aiseeeNimekuwekea list ya watu maarufu kuanzia mwaka 2025 na kuendelea Tunatarajia kuzunguka kwao kote watakuja kuishia kwenye siasa kuanzia UDC au hata Ubunge.
Ni kama wafuatao.
1.LADY JAYDEE
2.SALIM KIKEKE.
3.HARIS KAPIGA.
4.GARA B.
5.MWIJAKU.
6.JOEL NANAUKA.
7.CHRIS MAUKI.
8.ENG HERSI.
9.SHILOLE.
10.DIAMOND
11.HARMONIZE.
12.ALI KIBA
Baadhi hapo mmh..Nimekuwekea list ya watu maarufu kuanzia mwaka 2025 na kuendelea Tunatarajia kuzunguka kwao kote watakuja kuishia kwenye siasa kuanzia UDC au hata Ubunge.
Ni kama wafuatao.
1.LADY JAYDEE
2.SALIM KIKEKE.
3.HARIS KAPIGA.
4.GARA B.
5.MWIJAKU.
6.JOEL NANAUKA.
7.CHRIS MAUKI.
8.ENG HERSI.
9.SHILOLE.
10.DIAMOND
11.HARMONIZE.
12.ALI KIBA
Wataacha wakina mwanafa walikuwa wanasuka .Baadhi hapo mmh..
Kichwa cha mwenda wazimu kila mnyoaji ananyoa tuu
Nani huyoBila kumsahau mr pipa huyu 2035 lazima achukue nchi
ni mtu maarufu sana na ndio mtu alie mshaur makonda akamzabe makofi warioba na makonda kupata cheoNani huyo
SizaKuna yulé dogo anatangaza na kina masudi na Fetty power breakfast clouds jina limenitokaa ,yulé naye ataibukia Kwenye siasa n swala la mudaa .
Mbona kitambo sana ,nahisi ni mjumbe kabisa huko FISIEMU.Frank vunja bei namuona uko pia,