List ya watu maarufu watakaoishia kwenye siasa

List ya watu maarufu watakaoishia kwenye siasa

Labda kama ni makada kindakindaki wa vyama vya siasa hususani chama tawala, mwingine ni maulid kitenge, maulid kambaya, ben mwanantala, wema sepetu, joyce kiria, kijakazi yunus, anna mwasyoke na wengine wengi ambao tunawaona wana vimelea vya uchawachawa. Shangaa kuna mpaka waimba injili na bongo muvi wapo tunawaona maneno na matendo yao na ushiriki wao kwenye vitendo vya kichawa. Tuseme hizo taaluma/vipaji vyao ni cover tu sura kamili ya ukada imo ndani
 
Back
Top Bottom