Mkuu ukipata sehemu yenye wanachuo au karibu na maeneo yenye ofisi nyingi basi lazima uuze. Kuna sehemu kama tatu hapa Dar kila nikienda nakuta watu wengi tu na ni zaidi ya miaka 4 jamaa wanatoa huduma tu.26 tangu smart phone zizagae imekuwa kazi
me too love we nichunie tumiss U
me too love we nichunie tu
Hahaha alaaUbavu wa kukuchunia wewe sina mama
Umeooonaaa eenh! unadhani kazi kufikiria wazo la biashara..kazi ni mtaji na upate site nzuri na ubunifu piaa...ujasiriamali unahitaji alot of thing sio wazo tu la biashara!!gud idea....mtaji sasa.....issue kamtaji...bwana...
Ndio biashara gani hiyo Mkuu,huko Dar inalipa sana nini?Lack of capital.
Kanyelela mumo!!Safi sana, ila nashukuru biashara yangu hapo haipo, najiona kweli mimi mbunifu wa kusaka pesa.