List za biashara au fursa

Una cm ya sh ngapi kwanza...tuanzie hapo nikupe wazo


Mkuu Zillion, heshima kwako.
Mie hapa nina simu ya elfu 80. Nikiamua kuiuza kwa haraka, elfu 50 napata. Pia naweza azima mahala kwa mshikaji elfu 50 nyingine, jumla nikawa na Tsh 100,000 (laki moja).
Naomba unipe mchongo wa kukimbiza. Nipo Dar.

-Kaveli-
 
Jamaa amekupatia wazo la biashara Kifuatacho piga bongo jinsi ya kupata mtaji.. In vema
 
Very true... Yaan utakuta mtu analaumu HANA mtaji lkn anamiliki iPhone. Kuna sehem mufindi unapata hadi hekari 1 KWA efu 40. ...unamiliki ardhi yako kabisa tena cyo YA kukod... Tuache visingizio wa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha wapo tutakaouliza tunazifanyaje hizo biashara?! Labda mitaji tunayo Evelyn Salt lakini hatujui tunaanzaje na tunafanyaje kuanza?! Ni mawazo yangu lakini yanaweza kuwa ya wengi.
 
kutokana na ubusy wa kazi iyo ya kukodisha viti na matubai nmeipenda sn
 
Very true... Yaan utakuta mtu analaumu HANA mtaji lkn anamiliki iPhone. Kuna sehem mufindi unapata hadi hekari 1 KWA efu 40. ...unamiliki ardhi yako kabisa tena cyo YA kukod... Tuache visingizio wa tz

Sent using Jamii Forums mobile app

Naomba unipe namba za mtu wa maeneo ya huko ili ninunue hizo hekari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…