NAONA MSIMU WA MAEMBE UNATAKA KUANZA...
WEUSI nao wamekuwa kama makondoo hivi watakuwa wanapiga na ile nyimbo yao ya Bye bye?!...vipi nicki naye atakuwa anaimba ile nyimbo yake ya bum kubam!!!!!
Wananishangaza sana wanaimba nini wanafanya nini??!!
Yeye yupo #KILIMUSICTOUR MWANZA sidhani kama anaathirika na kutokuwepo kwenye #SERENGETIFIESTAnamuonea huruma sana JIDE.......
wewe ndo wakuonewa huruma. fanya yako ya jide yanakuhusu nini? after all mbona cjawah kumona wala kumsikia jide akishiriki fiesta tangu ikiitwa summer jam.namuonea huruma sana JIDE.......