Listi kamili ya wasanii watakaopanda jukwaani Fiesta 2013 ndani ya Kigoma

Listi kamili ya wasanii watakaopanda jukwaani Fiesta 2013 ndani ya Kigoma

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
Msimu mpya wa Fiesta 2013 umeshaanza na Kigoma ndiyo imepewa nafasi ya kufungua msimu huu. Hii ndiyo list ya wasanii ambao watakaopanda kwenye stage ya Fiesta 2013 Twenzetu ndani ya Kigoma. Listi ni ndefu, so jipangeni na team nzima ya Clouds itakuwa pande hizo. List inaenda kama hivi.


  • A.Y
  • T.I.D
  • Cassim Mganga
  • Barnaba na Amini
  • Mwana F.A
  • Godzilla
  • Young Killa
  • Ney Lee
  • Stamina
  • Shet a
  • Shilole
  • Weusi (Joh,Niki wa Pili, G nako)
  • Chege
  • Temba
  • Madee
  • Recho
  • Linex
  • Peter Msechu
  • Baba Levo
  • Makomando
>>NAONA HAPA TID WANAMLIPA FADHIRA YA KUGOMEA SHOW YA JAY DEE...
 
Kama kawaa! fiestaa for funny @twenzetuuuu
 
namuonea huruma sana JIDE.......
 
Angekuwepo Msimamo na ngoma yake mpyaa TUHAMIE MWEZINI ndo watu wazima tungetimba.
 
NAONA MSIMU WA MAEMBE UNATAKA KUANZA...

WEUSI nao wamekuwa kama makondoo hivi watakuwa wanapiga na ile nyimbo yao ya Bye bye?!...vipi nicki naye atakuwa anaimba ile nyimbo yake ya bum kubam!!!!!

Wananishangaza sana wanaimba nini wanafanya nini??!!
 
NAONA MSIMU WA MAEMBE UNATAKA KUANZA...

WEUSI nao wamekuwa kama makondoo hivi watakuwa wanapiga na ile nyimbo yao ya Bye bye?!...vipi nicki naye atakuwa anaimba ile nyimbo yake ya bum kubam!!!!!

Wananishangaza sana wanaimba nini wanafanya nini??!!

Stop that habit, you can think sound than that..
 
Dada ZANGU MNAOIBUKA KUWENI MAKINI NA IYO FIESTA,, IYO CREW YA CLAUDS SIO WATU WAZUS KABISA, WANAWATUMIA NA KUWATUPA KWA FAHILA YA 100000/show
 
Na hawa ndo wasambazaji wakuu wa mihadarati na madawa levya nchini. Msimu wa kufanya biashara naona umewadia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
namuonea huruma sana JIDE.......
wewe ndo wakuonewa huruma. fanya yako ya jide yanakuhusu nini? after all mbona cjawah kumona wala kumsikia jide akishiriki fiesta tangu ikiitwa summer jam.
 
Back
Top Bottom