GT,
comeon bro...i respect u but i dont see any relevancy kwenye hili.......naamini unamijadala bora zaidi ya kuleta hapa zaid ya haya, Tanzania ni vigumu kujua utajiri wa mtu maana hakuna takwimu zao sehemu....najua mjadala huu ungeuleta kwa namna nyingine kidogo unageleta maana......labda kwa mfano kwanini hao tunazani ni matajiri wakawekeze nje??? viongozi wengi wamewekeza nchi za nje na Taifa wala watanzania hawafaidiki na lolote........ni ubinafsi tu...katika hawa mafisadi ukiangalia nani amefanya kitu cha kusaidia taifa au wananchi..???
najua unakusudi zuli tu, lakni hii mada haitakuwa na ukweli...kuna watu hapa wanaweza wasitajwe lakni wamo na wengine wakatajwa kumbe hawamo....i hopw umenielewa...sipingi hoja ila naona haina Tija kwakuwa hakuna mwenye takwimu za watu atakaowataja, ila atatumia kusikia zaidi...ohh nasikia huyu ana nyumba...kumbe mtu anadaiwa na benki mpaka suruali aliyovaa...