Lisu na yeye ni mwanasiasa

Lisu na yeye ni mwanasiasa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kuna watu wanaamini Tundu Lisu ataleta maajabu makubwa ktk uongozi wa CHADEMA.
Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Afrika
  1. Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia
  2. Maslahi ya rafiki zake wa karibu kama Lema
  3. Maslahi yake na familia yake.
  4. Sio kulamba bali hata kunywa asali
 
Mtatoka tu madarakani hata kwa hirizi
 
Lissu aneleta mtikisiko mkubwa sana,

Ndugu malaria, vumilia tu, hakuna namna.
 
Kuna watu wanaamini Lissu alata maajabu makubwa ktk uongozi wa Chadema.
Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Africa
1. Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia
2. Maslahi ya rafiki zake wa karibu kama Lema
3. Maslahi yake na familia yake.
4. Sio kulamba bali hata kunywa asali
Kwahiyo wewe upo kundi la wanaomchawia (wachawi).
 
Kuna watu wanaamini Lissu alata maajabu makubwa ktk uongozi wa Chadema.
Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Africa
1. Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia
2. Maslahi ya rafiki zake wa karibu kama Lema
3. Maslahi yake na familia yake.
4. Sio kulamba bali hata kunywa asali
Hivi ni kweli kuwa huyu Lissu ndiye alikutoa usichana wako kisha akakupiga kibuti? Maana siyo kwa nongwa hizo dada yetu. Wewe siye wa kwanza kutolewa usichana na usiolewe na mwanaume aliyekubikiri. Jitunze tu utapata mume.
 
Matusi kama hayo mumechapa sana Mbowe
 
Umejipa hadi lini kuachana na Lissu na kukubali kuwa Lissu aloshashinda uenyekiti wa chadema?

Huoni unajiumiza kiasi gani?
 
Kuna watu wanaamini Tundu Lisu ataleta maajabu makubwa ktk uongozi wa CHADEMA.
Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Afrika
  1. Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia
  2. Maslahi ya rafiki zake wa karibu kama Lema
  3. Maslahi yake na familia yake.
  4. Sio kulamba bali hata kunywa asali
Ccm daima
 
Hamna mtu anataka alete maajabu, ukitaka maajabu nenda kwa mwamposa Lissu yupo busy kuunda taasisi ya chadema na hilo sio ajabu!
 
Back
Top Bottom