Lisu piga spana hapo hapo hapo usiachie.

Lisu piga spana hapo hapo hapo usiachie.

Mbogo nyeusi

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
233
Reaction score
541
Nimemsikia mh lisu Mara nyingi akiwasemea watumishi wa uma na maasikari kwamba hawajaongezewa mshahara kwa miaka mitano kinyume na katiba,
Kusema mapolisi hawajaongezewa mshahara ni matusi!?
Ni kutusi watumishi wa uma?
 
Watumishi wa umma Tanzania wameongezewa mshahara labda km unazungumzia watumishi wa ubeligiji
 
Amebana Mno Mpaka Maji Hayashuki Kooni
Akizidisha Namna Hiyo Naweza Kujinyea Ama Nikanyanyua Mikono.

Maneno Yale Kuwa Mwaka Huu Watashinda Hatutafanya Campaign Naona Midomo Michungu Lakini Kipimo Kinasema Sina Malaria
😁😂😅😄😃😃
 
Sio matusi ni kuwaamsha na kuwaambia kura ni siri ,wasiogope kura yao inawapa uhuru wa kweli tarehe 29/10/2020,mpigie Tundu Lissu kura ya ndio ,siku inayofuata unapata furaha ambayo hujawahi kuiona,jamani kuondoka CCM ni sherehe na vifijo nchi nzima hao ,mapolisi,majeshi wafanyakazi serikalini mbona watakuwa na furaha ya ajabu.ni uhuru ndani ya uhuru kandamizi.
 
Watumishi wa umma Tanzania wameongezewa mshahara labda km unazungumzia watumishi wa ubeligiji

Acha uongo na uzushi. Mwenyekiti wako hana huo uwezo wa kuongeza mishahara kwa watumishi wa umma kutokana na hulka yake ya kutoshaurika, ukaidi, ubinafsi, jeuri, kujiegeuza Alfa na Omega kwenye maamuzi ya kila kitu, ukatili, kuinvilia majukumu ya wasaidizi wake, nk ukimlinganisha na mtangulizi wake.

Umeshajaribu kumuuliza ni kwa nini kwenye kampeni zake kwa sasa haongelei chochote kuhusu stahiki za watumishi wa umma? Anafahamu uongo wake umeshaanikwa na wagombea wenzake akiwemo Tundu Lissu, Bernard Membe, nk.
 
Rais Magufuli haitaji kuongea sana kazi zake bora zinaongea

Watumishi wa umma wameongezewa mapesa labda km wewe upo ubeligiji
Acha uongo na uzushi. Mwenyekiti wako hana huo uwezo wa kuongeza mshahara kutokana na hulka yake ya kutoshaurika, ukaidi, ubinafsi, jeuri, ukatili, nk.

Umeshajaribu kumuuliza ni kwa nini kwenye kampeni zake kwa sasa haongelei chochote kuhusu stahiki za watumishi wa umma? Anafahamu uongo wake umeshaanikwa na wagombea wenzake akiwemo Tundu Lissu, Bernard Membe, nk.
 
Rais Magufuli haitaji kuongea sana kazi zake bora zinaongea

Watumishi wa umma wameongezewa mapesa labda km wewe upo ubeligiji

Unastahili kabisa kujiita Bia yetu. Kichwa chako kimejaa Bia tu.
 
Back
Top Bottom