Mbogo nyeusi
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 233
- 541
Amwongeza kwa kupunguza income tax onlyWatumishi wa umma Tanzania wameongezewa mshahara labda km unazungumzia watumishi wa ubeligiji
Watumishi wa umma Tanzania wameongezewa mshahara labda km unazungumzia watumishi wa ubeligiji
Acha uongo na uzushi. Mwenyekiti wako hana huo uwezo wa kuongeza mshahara kutokana na hulka yake ya kutoshaurika, ukaidi, ubinafsi, jeuri, ukatili, nk.
Umeshajaribu kumuuliza ni kwa nini kwenye kampeni zake kwa sasa haongelei chochote kuhusu stahiki za watumishi wa umma? Anafahamu uongo wake umeshaanikwa na wagombea wenzake akiwemo Tundu Lissu, Bernard Membe, nk.
Rais Magufuli haitaji kuongea sana kazi zake bora zinaongea
Watumishi wa umma wameongezewa mapesa labda km wewe upo ubeligiji