Ni pikipiki ya aina gani na ya muda gani?,, Hata hivyo pikipiki ambayo unaweza kutoka nayo Dar mpaka Mwanza na ukafurahia safari yako na matumizi mazuri ya mafuta ni kati ya hizi 1. Honda 2. Suzuki 3. YamahaEti wakuu nikiweka lita 1 ya petroli kwenye pikipiki itaisha kwa kwenda umbali wa kilomita ngapi? Nataka nijue ili nijilipue
Nataka nitoke na pikipiki kutoka Dar es Salaam mpaka Mwanza. Dar es Salaam kwenda Mwanza ni kilomita 1,141 sasa nataka nijue nitatumia lita ngapi mpaka nafika.
Wakuu niko serious kabisa, naombeni na ushauri.
Siyo hizi, hawa wakiongelea pikipiki ni mchina na kanjbhai.Ni pikipiki ya aina gani na ya muda gani?,, Hata hivyo pikipiki ambayo unaweza kutoka nayo Dar mpaka Mwanza na ukafurahia safari yako na matumizi mazuri ya mafuta ni kati ya hizi 1. Honda 2. Suzuki 3. Yamaha
Si bora ukapande treni, au hiyo pikipiki unaenda kuwaringishia huko kijijiniNitakuwa natulia tulia
Boda nying za mchna 1ltr inaazia kilometers 35-55 ....... Ushaur safar hiyoo inawezekana kama n dereva mzur...kila sku kata kilometers 500 then change oil plus ku adjust chain..mwendo 80-100km/hr...
Hela wanapata tatizo chupi. Yeye litre moja hadi aimalize anakuwa kashatengeneza 7,000-10,000 Kama anaenda safari za hela.Kumbe bodaboda wanapiga hela, yaani lita 1 unapiga mpka kilomita 55 aisee.
kuna vitu vya kuzingatia kabla hujaanza hiyo safari yenyewe...
kama piki piki sio mpya.
✓jiandae kuongeza mafuta full tank mara 3 hadi mwisho wa safari yako.
✓hakikisha una weka break mpya zote 2.
✓kagua waya ya break pamoja na cable ya clutch.
✓kaza vizuri nuts zote.
✓weka oil mpya best recommend Mogas ukiweza ongeza mls200 za oil kwa kawaida chupa ya oil huwa na ujazo wa lita 1. hivyo utaongeza kidogo mils 200.
✓jitahidi upate gloves [emoji3451]....
✓tafuta mzura au koti lenye kofia ambayo itasaidia kuibana helmet.
✓vaa suluali 2 au 3.
✓ukiweza kupata mabuti marefu yatakayo kuwezesha kuibana suluali miguuni itakuwa poua sana maana njiani kuna upepo wenye baridi kari mno. hali ya hewa huanza kubadilika ukifika Chalinze.
✓usibebe begi kama ukilazimika kulibeba hakikisha unalifunga nyuma.
✓beba oil ya akiba. kama ni mziefu wa kuendesha piki piki utakuwa unajua mlio wa pikipiki endapo oil itakuwa imeisha nguvu. japo kitaalam km1700 Hizo unaweza kwenda bila kuchange oil.
✓hakikisha unatembea na spana za muhimu kama hiyo ya Oil pamoja na za kuajustia break.
✓mipira ya pikipiki isiwe imetumika sana ikiwa mipya itapendeza zaidi maana njia unayoenda kupita ina viwaya vilivyoachwa na matairi ya magari makubwa hivyo kama tairi likiwa limeisha ni rahisi kupata pancha.
✓usisahau kubeba lita wau 2 au ukiweza 5 za petrol za emergency. hizi zitakusaidia endapo utaishiwa mafuta sehemu ambayo haina Petrol stations. hakikisha unafika nayo mwisho wa safari.
✓changamoto utakayo kutana nayo kubwa ni madereva wanaoenda mwendo wa haraka hawawathamini waendesha pikipiki hivyo ni bora ukawasha taa muda wote uwapo safarini.
✓usiendeshe mwendo mkari kupita kiasi barabara zetu zina mashimo. na mashimo mengine ni makubwa kiasi cha kufanya tairi izame hivyo ukiwa kwenye speed kali utashindwa kulikwepa hilo shimo. best recommend speed 70 kushuka chini...! usivuke 80 barabara zetu haziruhusu.
nakutakia safari njema
Pikipiki huwa ina resave sijui inaandikwa hivyokuna vitu vya kuzingatia kabla hujaanza hiyo safari yenyewe...

Si bora ukapande treni, au hiyo pikipiki unaenda kuwaringishia huko kijijini
najua nimechelewa ila kwa faida ya wengine na watakaohitaji elimu,kuna vitu vya kuzingatia kabla hujaanza hiyo safari yenyewe...
kama piki piki sio mpya.
✓jiandae kuongeza mafuta full tank mara 3 hadi mwisho wa safari yako.
✓hakikisha una weka break mpya zote 2.
✓kagua waya ya break pamoja na cable ya clutch.
✓kaza vizuri nuts zote.
✓weka oil mpya best recommend Mogas ukiweza ongeza mls200 za oil kwa kawaida chupa ya oil huwa na ujazo wa lita 1. hivyo utaongeza kidogo mils 200.
✓jitahidi upate gloves [emoji3451]....
✓tafuta mzura au koti lenye kofia ambayo itasaidia kuibana helmet.
✓vaa suluali 2 au 3.
✓ukiweza kupata mabuti marefu yatakayo kuwezesha kuibana suluali miguuni itakuwa poua sana maana njiani kuna upepo wenye baridi kari mno. hali ya hewa huanza kubadilika ukifika Chalinze.
✓usibebe begi kama ukilazimika kulibeba hakikisha unalifunga nyuma.
✓beba oil ya akiba. kama ni mziefu wa kuendesha piki piki utakuwa unajua mlio wa pikipiki endapo oil itakuwa imeisha nguvu. japo kitaalam km1700 Hizo unaweza kwenda bila kuchange oil.
✓hakikisha unatembea na spana za muhimu kama hiyo ya Oil pamoja na za kuajustia break.
✓mipira ya pikipiki isiwe imetumika sana ikiwa mipya itapendeza zaidi maana njia unayoenda kupita ina viwaya vilivyoachwa na matairi ya magari makubwa hivyo kama tairi likiwa limeisha ni rahisi kupata pancha.
✓usisahau kubeba lita wau 2 au ukiweza 5 za petrol za emergency. hizi zitakusaidia endapo utaishiwa mafuta sehemu ambayo haina Petrol stations. hakikisha unafika nayo mwisho wa safari.
✓changamoto utakayo kutana nayo kubwa ni madereva wanaoenda mwendo wa haraka hawawathamini waendesha pikipiki hivyo ni bora ukawasha taa muda wote uwapo safarini.
✓usiendeshe mwendo mkari kupita kiasi barabara zetu zina mashimo. na mashimo mengine ni makubwa kiasi cha kufanya tairi izame hivyo ukiwa kwenye speed kali utashindwa kulikwepa hilo shimo. best recommend speed 70 kushuka chini...! usivuke 80 barabara zetu haziruhusu.
nakutakia safari njema
njoo na mrejesho kama safari ilifanikiwa kwa kiaso gani na kwa gharama ukizotarajia ama changamoto zipi ulikutana nazo.Shukrani sana kwa muongozo na ushauri, ubarikiwe.