Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Imetofautina na tvs three wheeler 200cc kidogo Sana , yenyewe inaenda Hadi 35km/LMimi nina Tvs hlx 125. Inalamba 40km kwa 1 ltr.
Kama unaenda na pikipiki long trip kwaajili ya kutalii Nchi yako sawa.
Ila kama ni safari ya haraka sana panda Basi tu ni salama zaidi.