Lita 1 ya petroli inaliwa kwa kilomita ngapi kwa usafiri wa pikipiki?

Mimi nina Tvs hlx 125. Inalamba 40km kwa 1 ltr.

Kama unaenda na pikipiki long trip kwaajili ya kutalii Nchi yako sawa.
Ila kama ni safari ya haraka sana panda Basi tu ni salama zaidi.
Imetofautina na tvs three wheeler 200cc kidogo Sana , yenyewe inaenda Hadi 35km/L
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…