Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni dhahiri kuwa Arusha ni mkoa wa kitalii Tanzania, kwa vivutio vilivyopo Arusha bila shaka Africa nzima hakuna jiji lenye vivutio vingi kama Arusha. Arusha ina vivutio vifuatavyo kwa ukaribu; Tarangire, Lake Manyara, Arusha National Park, Ngorongoro na Serengeti, Oldonyo Lengai, Olvai Godge nk, lakini Arusha ina utajiri wa makabila yaliyotunza utamaduni ambao ni kivutio cha utalii wakiwemo Wamasai, Wabarbaig, Wahadzabe nk
Hadi mwaka 2010 Arusha haikuwa na hadhi kuwa mkoa unaopokea watalii kutoka kila kona ya dunia, ingawa hadi sasa bado hairidhishi lakini angalau vumbi limetoweka. Arusha mitaa ilikuwa vumbi, huduma ya maji ilikuwa ya shida. Sababu kubwa ya kuifanya Arusha iwe vibaya kimiundombinu ni kutokana na genge la wana CCM ambao wakati ule walikuwa wamekamata Halmashauri, kuanzia Mbunge hadi madiwani.
Mwaka 2011 baada ya upepo kugeuka na kuingia CHADEMA wakiongozwa na Mbunge Godbless Lema, Arusha ilishuhudia ujenzi na ukarabati wa miundo mbinu na kufanya angalau mitaa mingi kuwa na kiwango cha lami. Lakini ilishuhudiwa usambazaji wa maji wa kasi zaidi.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, uwepo wa CHADEMA ndani ya Halmashauri uliwafanya wezi waliokuwa wamejificha kwenye mwavuli wa CCM kupoteana, hivyo kusababisha mapato yatumike kwa usahihi.
Hivyo, itakuwa ni kosa kubwa kwa wana Arusha kuirudisha Arusha mikononi mwa CCM tena, ni vyema kuisoma historia kabla ya kufanya maamuzi.
Hayo ni mawazo yake haina maana kuyabeba mawazo ya mwingine na kuyatumia, ni kujidhalilisha kifikra.
Arusha ilikuwepo kabla Magufuli hajazaliwa, na maendeleo yataendelea kuwepo hata baada ya Magufuli kupotea, kwasasa Arusha ni Chadema hilo halina mjadala, kama unabisha muangalie huyo Gambo mikutano yake ya kampeni sijui huwa anaifanyia vichochoro gani hata haonekani.
UMEKUMBUKA SHUKA KUMEKUCHA NA MBU WAMESHAKUSHAMBULIA VYA KUTOSHA.Ni dhahiri kuwa Arusha ni mkoa wa kitalii Tanzania, kwa vivutio vilivyopo Arusha bila shaka Africa nzima hakuna jiji lenye vivutio vingi kama Arusha. Arusha ina vivutio vifuatavyo kwa ukaribu; Tarangire, Lake Manyara, Arusha National Park, Ngorongoro na Serengeti, Oldonyo Lengai, Olvai Godge nk, lakini Arusha ina utajiri wa makabila yaliyotunza utamaduni ambao ni kivutio cha utalii wakiwemo Wamasai, Wabarbaig, Wahadzabe nk
Hadi mwaka 2010 Arusha haikuwa na hadhi kuwa mkoa unaopokea watalii kutoka kila kona ya dunia, ingawa hadi sasa bado hairidhishi lakini angalau vumbi limetoweka. Arusha mitaa ilikuwa vumbi, huduma ya maji ilikuwa ya shida. Sababu kubwa ya kuifanya Arusha iwe vibaya kimiundombinu ni kutokana na genge la wana CCM ambao wakati ule walikuwa wamekamata Halmashauri, kuanzia Mbunge hadi madiwani.
Mwaka 2011 baada ya upepo kugeuka na kuingia CHADEMA wakiongozwa na Mbunge Godbless Lema, Arusha ilishuhudia ujenzi na ukarabati wa miundo mbinu na kufanya angalau mitaa mingi kuwa na kiwango cha lami. Lakini ilishuhudiwa usambazaji wa maji wa kasi zaidi.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, uwepo wa CHADEMA ndani ya Halmashauri uliwafanya wezi waliokuwa wamejificha kwenye mwavuli wa CCM kupoteana, hivyo kusababisha mapato yatumike kwa usahihi.
Hivyo, itakuwa ni kosa kubwa kwa wana Arusha kuirudisha Arusha mikononi mwa CCM tena, ni vyema kuisoma historia kabla ya kufanya maamuzi.
Upo sahihi mkuu hawatuwezi kukubali kuongozwa na mashetani mkuuNi dhahiri kuwa Arusha ni mkoa wa kitalii Tanzania, kwa vivutio vilivyopo Arusha bila shaka Africa nzima hakuna jiji lenye vivutio vingi kama Arusha. Arusha ina vivutio vifuatavyo kwa ukaribu; Tarangire, Lake Manyara, Arusha National Park, Ngorongoro na Serengeti, Oldonyo Lengai, Olvai Godge nk, lakini Arusha ina utajiri wa makabila yaliyotunza utamaduni ambao ni kivutio cha utalii wakiwemo Wamasai, Wabarbaig, Wahadzabe nk
Hadi mwaka 2010 Arusha haikuwa na hadhi kuwa mkoa unaopokea watalii kutoka kila kona ya dunia, ingawa hadi sasa bado hairidhishi lakini angalau vumbi limetoweka. Arusha mitaa ilikuwa vumbi, huduma ya maji ilikuwa ya shida. Sababu kubwa ya kuifanya Arusha iwe vibaya kimiundombinu ni kutokana na genge la wana CCM ambao wakati ule walikuwa wamekamata Halmashauri, kuanzia Mbunge hadi Upmadiwani.
Mwaka 2011 baada ya upepo kugeuka na kuingia CHADEMA wakiongozwa na Mbunge Godbless Lema, Arusha ilishuhudia ujenzi na ukarabati wa miundo mbinu na kufanya angalau mitaa mingi kuwa na kiwango cha lami. Lakini ilishuhudiwa usambazaji wa maji wa kasi zaidi.
Kwa mujibu wa taarifa za uhakika, uwepo wa CHADEMA ndani ya Halmashauri uliwafanya wezi waliokuwa wamejificha kwenye mwavuli wa CCM kupoteana, hivyo kusababisha mapato yatumike kwa usahihi.
Hivyo, itakuwa ni kosa kubwa kwa wana Arusha kuirudisha Arusha mikononi mwa CCM tena, ni vyema kuisoma historia kabla ya kufanya maamuzi.
Train ya kwanza Arusha ililetwa na mkoloni mbona hutaji?shikilia moyo baada ya october maaana kuna watu watazimia kwa matokeo! kumbe mnajua umuhimu wa barabara alafu mlikua mnapinga nn sasa, ifahamike tu kwamba maendeleo mengi arusha ni baada ya magufuli kuingia madarakan mfano 2 way roads zinazoanzia tengeru mpaka ngaramtoni , na ingine mpaka junction ya sombetini kwenda airport zote ni baada ya magu, watalii wameongezeka double ni baada ya magufuli sasa wananchi wanajua nan achukue jiji
Train ya kwanza Arusha ililetwa na mkoloni mbona hutaji?
Kwahiyo kama kwetu ni Muleba Bukoba siwezi kuwa mjumbe Arusha?Arusha aliletwa toka kigoma kua dc then RC,kwao ni ilala alipogombea 2015
Ndio mana meko ni mjumbe chato sio darKwahiyo kama kwetu ni Muleba Bukoba siwezi kuwa mjumbe Arusha?