Uchaguzi 2020 Litakuwa ni kosa kubwa kwa Arusha kurudishwa mikononi mwa CCM, msisahau historia ya miaka ya 2010 na kurudi nyuma

Vipi kuhusu maendeleo ya watu hapo Arusha? Hayo uliyoyataja si ndiyo mnayapinga!
 


nadhan usisemee wananchi wao wenyewe wanajua chama gan watachagua
 


shikilia moyo baada ya october maaana kuna watu watazimia kwa matokeo! kumbe mnajua umuhimu wa barabara alafu mlikua mnapinga nn sasa, ifahamike tu kwamba maendeleo mengi arusha ni baada ya magufuli kuingia madarakan mfano 2 way roads zinazoanzia tengeru mpaka ngaramtoni , na ingine mpaka junction ya sombetini kwenda airport zote ni baada ya magu, watalii wameongezeka double ni baada ya magufuli sasa wananchi wanajua nan achukue jiji
 
UMEKUMBUKA SHUKA KUMEKUCHA NA MBU WAMESHAKUSHAMBULIA VYA KUTOSHA.
HABALI YA MJINI HAPA ARUSHA NI GAMBO. MWAMBIENI NABII TITO ARUDI KWAO KILIMANJARO.
 
Upo sahihi mkuu hawatuwezi kukubali kuongozwa na mashetani mkuu
 
Train ya kwanza Arusha ililetwa na mkoloni mbona hutaji?
 
Train ya kwanza Arusha ililetwa na mkoloni mbona hutaji?


nyie si mlisema treni sio kipaumbele chenu ama mmegeuza gia, treni ya pili ililetwa na magufuli na walipokea kama kawaida wananchi na mapenzi yao kwa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…