Litakuwa sio jambo la kushangaza wakina boban kusajiliwa klabu kubwa...

Litakuwa sio jambo la kushangaza wakina boban kusajiliwa klabu kubwa...

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
sio jambo la kushangaza wakina boban kusajiliwa klabu kubwa kama yanga.. ndiyo!..umekuwa mshangao Mkubwa boban kusajiliwa yanga.. lakini uhalisia ni huu.. tuanze kwenye ligi yetu..
kiukweli ligi yetu inatia Mashaka sana.. kwanini??.. Mtu kama alikiba anacheza.. tena kwenye pambano la ligi kuu!.. hapo inatia Mashaka!..
Alikiba alikuwa bize na shughuli zake za mziki alikuwa mbali na timu yake ya coaster union.. lakini kibaya zaidi hakuwa na match fitness.. ila cha ajabu watu wanasema alicheza vizuri!!
hapo kuna mawili
1:wachezaji tulionao sasa hawastahili kucheza ligi kuu.. ikiwa na maana uwezo wao ni mdogo!..

2:..hatujajenga misingi ya kutengeneza wanasoka kuanzia ngazi ya chini.. ndo maana viwango vimepungua..

hii imefanya mchezaji kama haruna moshi "boban".kurudi kwenye team kubwa kama yanga..
sababu??.. ni ile ya pili!. hatujajenga misingi ya kutengeneza wanasoka toka ngazi ya chini!..
Walipewa nafasi kina matheo Anthony, juma mahadhi.. wakashindwa kuitumia nafasi na mkongwe kama boban sio jambo la ajabu akawaweka benchi kina mahadhi!.. boban ana kitu miguuni bado..
unapoona kocha kama mwinyi zahera anapendekeza usajili wa aina ya boban ujue wazi kabisa wachezaji wa sasa viwango vyao ni vidogo kucheza ligi kuu..
tunapaswa kutengeneza ligi yenye wachezaji waliokomaa kiuwezo, kiakili,.. tukifanya hivi hata timu yetu ya taifa itafika mbali!!...

#pancho boy..
 
Naam! Umenena vyema sana, nimepata kutazama HM tangu arudi ligi kuu mechi zaidi ya 5 na iko wazi kwamba yule kiumbe kuna hazina kubwa iko miguu mwake licha ya umri kumtupa mkono.

HM ni moja ya wachezaji wa kuheshimiwa kwa sasa ligi kuu siyo kiumri bali kwa namna anavyojua kufanya mpira uende anavyotaka, kitu ambacho wachezaji wengi hawawezi.
 
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo Wewe ndo mdau wa soka.. sio hao kina nani sijui??
 
Back
Top Bottom