Litambue tatizo la nywele kukatika au kunyonyoka kwa wanawake

Litambue tatizo la nywele kukatika au kunyonyoka kwa wanawake

Doctor MD

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
209
Reaction score
249
Kwanza awali ya yote napenda uelewe kwamba Kichwa Cha binadamu kinaunda na vishikizi vipatavyo 100,000 Hadi 300,000 ambapo kuptia vishikizi hivi nywele huota

Nywele huota kutokana na sababu zipatazo mbili kuu ambazo ni pamoja na homoni na virutubisho ikiwemo vifamin mbalimbali na madini ya chuma

Uonekano mzuri wa asili wa nywele zako hutegemea zaidi sababu mbili nilizoItaja tofauti na hizo dawa zisizo na uasili ambazo zaweza kuasili nywele zako kwa miaka ya mbele

Sababu zifuatazo zaweza kupelekea kukatika Mara kwa Mara kwa nywele au kunyonyoka zaidi

1. DAWA
Gentamicin, chloramphenicol, Warfarin, heparin, Fluoxetine, desipramine, lithium, Valproic acid, phenytoin, Doxorubicin, vincristine, etoposide, Bromocriptine, clomiphene, danazolColchicine, allopurinol, Gemfibrozil, fenofibrate, Ibuprofen, indomethacin, naproxen, Cimetidine, ranitidine
2. UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO
Upungufu wa vitamin c, biotin,chuma, delenium na fat ni chanzo cha nywele kukatika
3. SUMU MBALIMBALI
Kama mercury, copper, lead, arsenic
4. UPUNGUFU WA THAIROIDI HOMONI KATIKA MWILI
5. MATUMIZI YA SHAIRI NA NGANO

Hata hivyo wanawake walio na umri zaidi ya miaka 40 hupata zaidi shida hii kutokana na kwamba umri kuanzia huo homoni zinakuwa zinashuka Sana
Ukiwa Kama binti unapaswa uelewe kuwa matumizi ya mafuta ya nywele yasiyo na virutubisho muhimu yanaweza yakawa na athari zaidi ndani ya mwili kwa miaka ya mbeleni kwa kuwa yanaweza pelekea magonjwa mbalimbali yanayohusu homoni
Hivo Basi kwa mwonekano mzuri wa nywele zako jitahidi kutumia vykula vyenye virutubisho vinavyotakiwa vyenye vitamin C kwa wingi na madini ya chuma
Endapo utaona hupati maendeleo uyatakayo kuhusu nywele basji
nitafte kupitia: phone no/wasap no
0757160773
Email: devidakimu@gmail.com
By Dr. Msokwa
 
Back
Top Bottom