Literally: Hoja yangu ni kuwa, Pablo Leo anafukuzwa Lakini...

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu let us think Literally.

Hoja yangu ni kuwa, Sawa Pablo Leo anafukuzwa Lakini:

1. Je,kuhusu viwanja vya mikoani kuwa ni vibovu, si kweli?

2. Ugonjwa wa Simba hauna tofauti na WA Yanga,wanapishana vipindi tu.

Je, klabu zetu zimetengeneza mazingira ya kuwafanya Hawa wataalam wa soka watimize wajibu wao Kwa mafanikio?

3. Hana plan B,Je mifumo ya timu na aina ya wachezaji tulionao,tuna plan B?

4. Hoja namba 4, Hawa makocha mara nyingi wanakuja na kukuta hizi timu tayari zimeshasajili.
Tunawapa lawama Kwa Hali?
.
Let us think More

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hoja namba 4 ndio tatanishi

Nakumbuka hata kile kipindi nabi apewe mechi mbili zitazoamua abakie au atimuliwe, moja ya utetezi wake alikuwa akilaumu kuwa wachezaji wengi wamesajiliwa sio katika chaguo lake

Kumfukuza kocha halafu kuendelea kubaki na kina kibu, kagere, boko, nk. naona kama kocha kaonewa tu
 
Huyo nae Anamalizia mechi tu nae anatimuliwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ila Hakuna locha pale kocha mechi zaidi ya 10+ hatuoni chochote alichofanya kwenye timu!! Kina Kibu walivyokuja wako vilevile kuna kocha hapo!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi huwa nashangaa sehemu moja tu! Watafukuzwa makocha wote wakuu, ila Seleman Matola, huji kusikia akifukuzwa! 🤔
 
Angefanyaje na wale wachezaji wengi wazee walochoka? Vitoto vilivyoletwa ambavyo hakuvipendekeza yeye vimeshindwa kuleta matokeo chanya!
 
Mimi huwa nashangaa sehemu moja tu! Watafukuzwa makocha wote wakuu, ila Seleman Matola, huji kusikia akifukuzwa! [emoji848]
Ndiyo nahangaika kuitafuta namba ya Matola nimpigie,anielekeze mganga wake.

Maana Kama ni bahati,kwa Matola ni more than [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…