Little help plzz

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
346
Reaction score
76
Habar wanaJF, Naombeni Msaada wenu... Babu yangu anaalama hiyo kwenye kidole hakumbuki alifanya nini... Je ni Tatizo gani?? na inaponaje??
 
katembea umbali mrefu/alikuwa anafanya zoezi hivyo kiatu kimesababisha hayo?
mbona wekundu unasambaa kama saratani?

ila ngoja kwanza tusifike huko tatizo limekuja ghafla au lilianza siku kadhaa zilizo pita?
 
Itakuwa alijiumiza bila ngozi kupasuka. Hiyo ni damu na hilo lenge lenge likipasuka itakuwa kidonda. Hapo ngozi inamlinda na infections akiweza kulilea lisipasuke litapona lenyewe ndani ya siku 7
 
Tatizo limeanza jumatatu , hajatembea umbali mrefu na havai viatu vya kubana...
 
Itakuwa alijiumiza bila ngozi kupasuka. Hiyo ni damu na hilo lenge lenge likipasuka itakuwa kidonda. Hapo ngozi inamlinda na infections akiweza kulilea lisipasuke litapona lenyewe ndani ya siku 7
ohh!! okay kwahiyo tusitie dawa yeyote?
 
Itakuwa alijiumiza bila ngozi kupasuka. Hiyo ni damu na hilo lenge lenge likipasuka itakuwa kidonda. Hapo ngozi inamlinda na infections akiweza kulilea lisipasuke litapona lenyewe ndani ya siku 7

Litapona ndani ya Siku7 kivipi? Unampangia mungu?☆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…