Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpe pole atapona... nenda hospitali mapemaHabar wanaJF, Naombeni Msaada wenu... Babu yangu anaalama hiyo kwenye kidole hakumbuki alifanya nini... Je ni Tatizo gani?? na inaponaje??View attachment 866413
Tatizo limeanza jumatatu , hajatembea umbali mrefu na havai viatu vya kubana...katembea umbali mrefu/alikuwa anafanya zoezi hivyo kiatu kimesababisha hayo?
mbona wekundu unasambaa kama saratani?
ila ngoja kwanza tusifike huko tatizo limekuja ghafla au lilianza siku kadhaa zilizo pita?
ohh!! okay kwahiyo tusitie dawa yeyote?Itakuwa alijiumiza bila ngozi kupasuka. Hiyo ni damu na hilo lenge lenge likipasuka itakuwa kidonda. Hapo ngozi inamlinda na infections akiweza kulilea lisipasuke litapona lenyewe ndani ya siku 7
No litakauka lenyeweohh!! okay kwahiyo tusitie dawa yeyote?
okay Thanks... Mungu atakulipaNo litakauka lenyewe
Itakuwa alijiumiza bila ngozi kupasuka. Hiyo ni damu na hilo lenge lenge likipasuka itakuwa kidonda. Hapo ngozi inamlinda na infections akiweza kulilea lisipasuke litapona lenyewe ndani ya siku 7
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!Babu yupo soft sana asee
Babu yupo soft sana asee
Ilikuwa kweli niulize ngozi gani hii kwa umri wa mtu kuwa babu? Watu bwanaBabu yupo soft sana asee