Little Tanzanian magician - Tepsie Evance

Little Tanzanian magician - Tepsie Evance

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Uyu bwana mdogo toka amekuwa promoted first team ya Azam FC anaupiga sana tena nadhani mwaka huu yuko bora kuliko mwaka jana

Toka mechi ya Zesco dogo anaonekana anauhai sana uwanjani na anacheza soccer la kiwango cha juu mno.

Nachelea kiwango chake ni sawa na Peter Banda+ Nkane+ sakho+ Ambundo = Tepsie Evance

Dogo unakuja vizuri jana umekuwa nyota wa mchezo

Goal 1 na Assist moja hakika una kipaji naiona Tanzania mabegani mwako.
IMG_20220818_080406.jpg
 
Top talented players in NBC Premier league.

1. Clatous Chama
2. Tepsie Evance
3. Dario Federico
4. Benard Morrison

Add yours
You nailed it dogo hapoi dogo haboi
 
Hapana ni winger ya kulia mkuu jana kafunga na kuasisit
Basi muda nimechungulia game aidha ni yeye au kuna mwingine alikuwa kushoto kule kama beki 3 aisee dk 2 nilizotizama alikiwasha.
 
Tatizo lake anakaa sana na mpira kitu ambacho soka la kisasa alitaki.
Mimi nimemwelewa yule Nathaniel Chilambo Beki 2 wa Azam atafika mbali kisoka.
Kadri siku zinavyokwenda anajengeka ki mwili na mwepesi kuachia mpira. Aongeze mazoezi Ili mwili wake uimarike zaidi, kama anabahati si muda mrefu Nathaniel atakua Ng'ambo ya Afrika akicheza soka.
 
Back
Top Bottom