FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Uyu bwana mdogo toka amekuwa promoted first team ya Azam FC anaupiga sana tena nadhani mwaka huu yuko bora kuliko mwaka jana
Toka mechi ya Zesco dogo anaonekana anauhai sana uwanjani na anacheza soccer la kiwango cha juu mno.
Nachelea kiwango chake ni sawa na Peter Banda+ Nkane+ sakho+ Ambundo = Tepsie Evance
Dogo unakuja vizuri jana umekuwa nyota wa mchezo
Goal 1 na Assist moja hakika una kipaji naiona Tanzania mabegani mwako.