👍Top talented players in NBC Premier league.
1. Clatous Chama
2. Tepsie Evance
3. Dario Federico
4. Benard Morrison
Add yo
Ngoja tuone itakuwajeAna nafasi sana national team
Basi muda nimechungulia game aidha ni yeye au kuna mwingine alikuwa kushoto kule kama beki 3 aisee dk 2 nilizotizama alikiwasha.Hapana ni winger ya kulia mkuu jana kafunga na kuasisit
Huyo ni Pascal MsindoBasi muda nimechungulia game aidha ni yeye au kuna mwingine alikuwa kushoto kule kama beki 3 aisee dk 2 nilizotizama alikiwasha.
Pascal MsindoPaschal lusindo
Kwa dakika zile chache nilizomuona, ningekuwa scout nishampitisha.Huyo ni Pascal Msindo
Kwa dakika zile chache nilizomuona, ningekuwa scout nishampitisha.Huyo ni Pascal Msindo