Kuna tofauti kubwa sana kati ya sahko na hiyo tepsie.huyo dogo bado anacheza mpira wa kitoto sana,mpira ambao hauwezi kumfanya apate mafanikio makubwa.Hiyo mipira ya show ndiyo iliyowafanya kina neyma wako hivyo walivyo japo walianza vizuri.Sahko anaujua mpira vizuri na kakomaa kinachowafanya wanafanana na tepsie ni ubinafsi na kutaka kucheza na jukwaa.Asa weka statistics tuone sakho hakuna alichomzidi Tepsie
Labda leseni ya kufanya kazi nchi na meno ya sakho machafu
Ila talent vyenga ufundi sako hampati tepsie ata robo
Tepsi na Sakho ana anacheza na jukwaa?Kuna tofauti kubwa sana kati ya sahko na hiyo tepsie.huyo dogo bado anacheza mpira wa kitoto sana,mpira ambao hauwezi kumfanya apate mafanikio makubwa.Hiyo mipira ya show ndiyo iliyowafanya kina neyma wako hivyo walivyo japo walianza vizuri.Sahko anaujua mpira vizuri na kakomaa kinachowafanya wanafanana na tepsie ni ubinafsi na kutaka kucheza na jukwaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah unachekesha wee, kwa Azam ipi?Sakho ana nini alichomzidi Tepsi
Let's facts speak themselves
Kiatu cha gori bora?
Ivi sakho na Banda wanaweza pata number Azam?
Ana 27 rnIddy nado ndo muongo ety ana 24[emoji3]
Wengii tyuuhDuh anamuweka. Nje Nani azam sakho?
Kwa hiyo sakho hana goli??we jamaa kama hutumii gundi basi unavutia bangi chooni.Tepsi na Sakho ana anacheza na jukwaa?
Tuongelee currently statistics
Sakho goals 0 assist 0 vyenga 100
Tepsie Goals 2 assist 1 vyenga 79
Nani bora?