gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kuna tofauti kubwa sana kati ya sahko na hiyo tepsie.huyo dogo bado anacheza mpira wa kitoto sana,mpira ambao hauwezi kumfanya apate mafanikio makubwa.Hiyo mipira ya show ndiyo iliyowafanya kina neyma wako hivyo walivyo japo walianza vizuri.Sahko anaujua mpira vizuri na kakomaa kinachowafanya wanafanana na tepsie ni ubinafsi na kutaka kucheza na jukwaa.Asa weka statistics tuone sakho hakuna alichomzidi Tepsie
Labda leseni ya kufanya kazi nchi na meno ya sakho machafu
Ila talent vyenga ufundi sako hampati tepsie ata robo