LIVE: BODI YA LIGI inatangaza ratiba, Simba na Yanga December 11

Hawa bodi wamekaa kiupigaji tu, hakuna wanachokijua

Ratiba ilitakiwa itoke at least wiki 4 zilizopita.
 
Kwenye ratiba tff na bodi ya ligi hawana uwezo!
Wakubali kualika wataalamu hata kutoka ulaya waje watoe semina wao wanapanga vipi ratiba na wanafanikiwa
 
Ratiba hii inaipendelea Simba... walisikika Uto wakilalama baada ya kupoteza mechi 3
 
Halafu ratiba za ligi huwa zinachakatwa randomly na computer, hawa wapumbavu wanakaa mezani wanapanga.
Kurahisisha mambo, kupunguza uchovu na gharama kubwa za usafiri ilitakiwa simba na yanga wamalize mechi zote za Kanda ya ziwa kwa msimu. Hivyo hivyo kwa timu za mikoani wakienda dar au Kanda nyingine wapige kambi hata mwezi mmoja ili wacheze mechi zote. Haipendezi namungo anaenda kucheza na kagera halafu anarudi Lindi direct, tena anarudi musoma.. useless
 
Mkuu kwa maoni yangu hii haifai kabisa kiushindani ulio wa haki

Imagine timu mbili zimebakiza mechi 4 zinapambania ubingwa au kutoshuka daraja halafu mmoja ana michezo mi3 ya nyumbani na mwingine mi3 ugenini

Totally unfair
 
Kwenye ratiba tff na bodi ya ligi hawana uwezo!
Wakubali kualika wataalamu hata kutoka ulaya waje watoe semina wao wanapanga vipi ratiba na wanafanikiwa
Huwa najiuliza, ulaya hasa England, timu inashiriki mashindano mengi, lakini ratiba zinaeleweka kabisa, mwanzo mpaka mwisho wa msimu.

Kwa nini huwa hatupendi kuiga mambo mazuri katika utandawazi huu?
 
Back
Top Bottom