Elections 2010 Live CHADEMA Igunga kupitia sibuka tv..

Elections 2010 Live CHADEMA Igunga kupitia sibuka tv..

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2010
Posts
2,415
Reaction score
398
Kwa wale wenye king'amuzi tizameni Sibuka TV Wanaonyesha mkutano wa chadema live
 
Kwa nini wanatumia sibuka tv na siyo itv, chanel 10, star tv au tbc zinazopatikana kwa wote
 
mzee wa njaa hebu nipe ripoti...watu ni kiasi gani
 
Kwanza sio live...ni mikutano mbalimbali waliofanya cdm pale igunga..
 
Jamani fungueni channel ya SIBUKA ili muweze kuwapima wagombea Ubunge jimbo la Igunga wakimwaga sera zao..........................................
 
sasa hivi naona jimama la ccm linakamua kama nini
 
Back
Top Bottom