Live chat na pisi kali

Hongereni hakii nimeshindwa kujizuia kucheka nikasema potelea mbali hata wanione dishi la Azam i don give a dam.

Yan eti huna hata namna ya kunitoa pangoni. Ivi kama Mwanamke ametolewa ubavuni mwa mwanaume ili amsaidie ikatokea anamzidi kipato kwanini asimpe hata mtaji wa Mradi? Badala ya kumtolea shombo kamaizo.? Kweli ukiona mwanaume kaamua kuuza nafsi yake na kuipoteza au uhai wake amesukumwa na mengi.
 
Hongereni, chart zote hizo hakuna aliyeombwa bando wala pesa?

Maana wale wa Facebook paragraph ya Pili tu wanataka bando kwanza mchart WhatsApp, nchi ngumu sana hii
 
Natamani kusema huu uzi ni wa kitoto lakini nafurahi kusoma chats zenu, zinaleta hosia sana

Lakini muache utoto[emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Sema msipinge wakuu tupo tunapambana na homesexuality [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…