Live Citizen tv:Spika Ndugai kutoa uzoefu wake kuhusu umuhimu wa kamati za bunge kwa wabunge wa Kenya

Live Citizen tv:Spika Ndugai kutoa uzoefu wake kuhusu umuhimu wa kamati za bunge kwa wabunge wa Kenya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Spika wa bunge mh Job Ndugai amealikwa na bunge la Kenya kwenye kikao cha kuwasilisha ripoti za utendaji kazi wa kamati za bunge.

Ndugai anatarajiwa kuwahutubia wabunge wa Kenya kuelezea umuhimu wa uwepo wa kamati za bunge na faida za matumizi ya lugha ya Kiswahili bungeni.

Tukio liko mubashara Citizen tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom