Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Apr 6, 2019 #41 Mambo siku hizi yamebadilika.. Unakuta njemba ina watoto kabisa. Halafu yupo kwenye group la ashura mtoto mtamu!..
Mambo siku hizi yamebadilika.. Unakuta njemba ina watoto kabisa. Halafu yupo kwenye group la ashura mtoto mtamu!..
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Apr 6, 2019 #42 Da killer said: Mgeni rasmi ni mama mongela,mleta maada unazidisha chuki dhidi ya clouds tu huna lolote. Ye bashite ni kama wadau wengine tu hapo. Click to expand... Naye ni kama tu malkia wa nguvu,kwani huioni NGUVU iliyoko NYUMA yake? Kweli watu hamna macho!! Huyo hata akitaka kichwa cha yohana mbatizaji analetewa kwenye sinia!!
Da killer said: Mgeni rasmi ni mama mongela,mleta maada unazidisha chuki dhidi ya clouds tu huna lolote. Ye bashite ni kama wadau wengine tu hapo. Click to expand... Naye ni kama tu malkia wa nguvu,kwani huioni NGUVU iliyoko NYUMA yake? Kweli watu hamna macho!! Huyo hata akitaka kichwa cha yohana mbatizaji analetewa kwenye sinia!!