Live Clouds TV: RC Makonda mgeni rasmi tamasha la Malkia wa nguvu

Live Clouds TV: RC Makonda mgeni rasmi tamasha la Malkia wa nguvu

Mambo siku hizi yamebadilika..
Unakuta njemba ina watoto kabisa.
Halafu yupo kwenye group la ashura mtoto mtamu!..
 
Mgeni rasmi ni mama mongela,mleta maada unazidisha chuki dhidi ya clouds tu huna lolote.
Ye bashite ni kama wadau wengine tu hapo.
Naye ni kama tu malkia wa nguvu,kwani huioni NGUVU iliyoko NYUMA yake? Kweli watu hamna macho!! Huyo hata akitaka kichwa cha yohana mbatizaji analetewa kwenye sinia!!
 
Back
Top Bottom