Leo ijumaa Bunge la Katiba litaanza saa 11 jioni. Tunatarajia TBC wataonyesha.
Hivi TBC wapo online?
wana jf,naomba kujuzwa kama kuna matangazo ya moja kwa moja ya bunge la katiba ijumaa hii.
Cha ajabu Television na Radio yetu ya Taifa wameshindwa kabisa kuweka matangazo yao online.