Live coverage ya bunge la katiba

Live coverage ya bunge la katiba

CEYLON

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
305
Reaction score
141
wana jf,naomba kujuzwa kama kuna matangazo ya moja kwa moja ya bunge la katiba ijumaa hii.
 
Leo ijumaa Bunge la Katiba litaanza saa 11 jioni. Tunatarajia TBC wataonyesha.
 
hawa jamaa TBC ikiwezekana wasione aibu at their own time hata kwa kificho wawe wanaenda kwa Tido Mhando wamuulize hivi alikuwa na vision gani, maana naona wanaanza kurudi enzi za TVT
Cha ajabu Television na Radio yetu ya Taifa wameshindwa kabisa kuweka matangazo yao online.
 
Back
Top Bottom